SectionsEucharistTazameni Meza Ya Bwana

Tazameni Meza Ya Bwana

Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Chorus

Tazameni meza ya Bwana, inapendeza (kama nini)

Bwana Yesu ameandaa leo karamu kubwa (kweli kweli)

Ni chakula chenye uzima chakula cha roho *2

Verse 2

Bwana alivyo mkarimu kautoa mwili wake

Kautoa kama chakula cha wokovu wetu

Verse 3

Mwili wa Bwana Yesu ni chakula ni chakula bora cha uzima

Damu yake Bwana Yesu ni kinywaji cha kweli

Verse 4

Bwana ametualika, sote tujongee mezani

Tukale chakula cha uzima wa roho zetu