SectionsEntranceTazama Mimi

Tazama Mimi

Advent,Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Verse 1

Tazama mimi mwanitafuta ni kwa sababu mlikula mikate

Na wala si kwa sababu ninyi mliona zile ishara

Chorus

Na mimi ee Bwana nakutafuta kwa moyo wote

Nione ishara nayo matendo nifike kwakon{ Najilaza chini, kifudifudi,

Ningali kijana unibariki na kizazi changu }* 2

Verse 3

Tazama mimi nilitumwa ili niuokoe ulimwengu

Na wala si kwa sababu nijiinue ili muamini

Verse 4

Tazama mimi sikuja kuwaita wema bali wenye dhambi

Na wala sikuja ili yao watu wema wajinyanyue

Verse 5

Tazama mimi niko pamoja nanyi siku zote niko nanyi

Siku zote siku zote hata ukamilifu wa dahari