Tazama Mimi Namshukuru
Advent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
{Tazama Mimi ninamshukuru Mungu (wangu) (mimi)
Najizungusha, mimi kwa nyimbo za shangwe }* 2n{Twende aiyeye aiyeyeye piga makofin(Aiye iye) aiyeye aiyeyeye njooni tucheze wotenaiyeye aiyeyeye piga makofin(Aiye iye) Aiye aiyeyeye tumshukuru Mungu
Verse 2
{Tazama Mungu jinsi alivyoniumba,
Jinsi hii ni ajabu na yenye kutisha aha }* 2
Verse 3
Nitaimbaje ili wote wasikie,
Zeze rumba, tarumbeta au madowazi aha
Verse 4
Nitafurahi mimi nitashangilia,
Kwa furaha nitaimba nyimbo za masifu aha
Verse 5
Nakushukuru Mungu kwa kila sauti,
Kinywa changu kitatangaza matendo yako aha
Verse 6
Milima yote nanyi mabonde sifuni,
Kwa kinanda na bahari icheze midundo aha