SectionsExitTazama Mimi (Ii)

Tazama Mimi (Ii)

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Christmas,Advent,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianExit
Chorus

{ Tazama mimi - nipo pamoja nanyi

Nipo pamoja - nanyi siku zote (siku zote) } *2

Siku zote mpaka ukamilifu wa dahari *2

Verse 2

Enyi watu wote pigeni, pigeni makofi

Pigieni Mungu kelele kelele za shangwe

Verse 3

Kwani Bwana aliye juu, mwenye kuogofya

Yeye ni mfalme mkuu wa dunia yote

Verse 4

Enyi watu wote imbeni, imbeni zaburi

Maana Mungu anamiliki mataifa yote

Verse 5

Mwimbieni Mungu imbeni, pigeni zumari

Mpigieni pia na zeze na vinanda vyenu