SectionsPresentation of GiftsTazama Bwana Tunakuja

Tazama Bwana Tunakuja

Christmas,Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus

{ Tazama, Bwana tunakuja kwako (leo)

Twaleta sadaka yetu mbele yako

Tunakuomba Mungu Baba pokea } *2

Verse 2

Kwa nguvu zako uliweza kustawisha

Mazao bora, na sasa twakutolea

Mashamba uliyarutubisha kwa

Mvua nzuri mazao kwa wingi yakasitawi

Verse 3

Bahari mito na maziwa Bwana ukajaza

Samaki wengi wa kupendeza

Angani ndege wengi wanarukarukankushangilia neema yako ee Bwana

Verse 4

Wanyama maporini wanarukaruka

Kushangilia neema yako ee Bwana

Wadudu nao wakachecheza kuonyesha

Furaha kubwa waliyo nayo