SectionsExitTazama Bikira

Tazama Bikira

Lent,Lent,Lent,Lent,Lent,Advent,Advent,Advent,AdventExit
Chorus

Tazama, tazama bikira atachukua mimba;nnaye atazaa mtoto (mtoto) mtotonmwanaume, naye atamwita jina,njina lake Immanuel

Verse 2

Tengenezeni njia, njia ya Bwana,nyanyoosheni mapito, mapito ya Bwana

Verse 3

Hakika wokovu wake u karibu nanwamchao, utukufu ukae katika nchi yetu

Verse 4

Kila bonde litajazwa, milima itashushwa,npalipopotoka patakuwa pamenyoshwa.