SectionsExitTazama Bikira Atachukua Mimba

Tazama Bikira Atachukua Mimba

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Christmas,AdventExit
Chorus

Tazama Bikira atachukua mimba,nna yeye atazaa mwana,

Naye jina lake ni Emanueli,nyaani ni Mungu pamoja nasi

Verse 2

Malaika akasema, salamu ee Maria, Bwana yu nawe

Verse 3

Utachukua mimba, utazaa mtoto, Bwana yu nawe

Verse 4

Utampa jina Yesu, naye ni mtakatifu, Bwana yu nawe

Verse 5

Mungu atampa kiti, cha babu yake Daudi, Bwana yu nawe