ST.JOHN KWA MULUNGU

2 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie,

Kristu utuhurumie, Kristu utuhurumie, Kristu utuhurumie,

Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie, n

Gloria

Glory to God

Chorus

Utukufu kwa mungu juu na amani kwa watu wenye mapenzi mema*2 n

Tunakusifu (ee baba) twakuheshimu (mwenyezi) twakuabudu tunakutukuza baba*2

Mungu mwenye kuziondoa dhambi setu utuhurumie baba pokea ombi letu*2n

Ee baba mwenyezi yesu kristu ee mwanakondoo mwana wake baba*2n

Uketiye kuume kwa baba mwenyezi utuhurumie baba ndiwe mtakatifu*2n

Peke yako wewe bwana milele pamoja na roho mtakatifu amina*2