SectionsOffertorySote Tumtolee

Sote Tumtolee

Ordinary Time,MarianOffertory
Chorus

Sote tumtolee Bwana Mungu sadakanwakristu. Sote tumtolee ee Bwana Mungu

Sote tumtolee Bwana Mungu sadaka.

Verse 2

Twaishi kwa pendo lake Mungunmwenyezi, tumtolee sadaka ni baba

Verse 3

Twaishi kwa pendo lake Mungu ni yeyennimwenye kuturehemu.

Verse 4

Aliyetuumba atupenda daima

Ingawa sisi tu wakosefu

Verse 5

Ni Mungu mwenyezi atulinda kokote

Katika mabonde ya mauti

Verse 6

Na nguvu tunazo ni kwa jina la Mungu

Na Mungu wetu ni mtakatifu

Verse 7

Na mali tunayo yake Mungu wa watu

Fadhili zake ni za milele.