SectionsEucharistSogeeni Kwa Karamu

Sogeeni Kwa Karamu

Ordinary Time,Ordinary Time,Pentecostal,Ordinary TimeEucharist
Verse 1

Bwana Yesu ni mwili wa uzima, tukila tutashibishwa

Bwana Yesu ni damu ya uzima, Yeye ni uzima

Chorus

Sogeeni kwa karamu ya upendo

Twende sote tule mwili wake

Twende sote tunywe damu yake Bwana tupate uzima

Verse 3

Tunapokula mwili wake Bwana, na kuinywa damu yake

Tunatangaza kifo chake Bwana Mpaka arudipo

Verse 4

Alaye mwili wake Bwana wetu, na kuinywa damu yake

Akila bila ya kustahili anajihukumu