Chorus
Sikuifukia talanta yangu, tazama Bwana naleta kwako leo
Ninaleta shukrani zangu pokea Baba, ni mali yakon
Chorus
Hivi vyote ni vyako, (mimi) nimepata kwa wema wakonnasema asante Baba, asante, asante, asante * 2n
Verse 3
Umenijalia nguvu na akili, nikazitenda kazi
Nimepata riziki zangu asante Baba asante
Verse 4
Umenijalia siku za furaha nami nikafurahi
Nikasifu jina la Bwana asante Baba asante
Verse 5
Umemtoa mwanao Yesu Kristu aje kunikomboa
Katika utumwa wa dhambi, asante Baba asanten