Chorus
Siwezi kubaki kitini, lazima ninyanyuke, nikamtolee Mungu
Kwani amenijalia mengi yasiyo idadi
Verse 2
Ninayo afya ya mwili na roho
Zawadi hii yatoka kwa Mungu
Kwa nini nisinyanyuke nikamshukuru Mungu
Verse 3
Mahangaiko ya njaa sipati . . .
Verse 4
Nikisafiri nafika salama . . .
Verse 5
Nafasi hii mimi nilo nayo . . .