SectionsExitSitawaacha Kama Mayatima

Sitawaacha Kama Mayatima

PentecostalExit
Chorus

Sitawaacha ninyi kama yatima,

Sitawaacha ninyi (acha ninyi)

Asema Bwana ( ee Bwana)

Naja kwenu mioyo yenu ijae,

Furaha na amani, asema Bwana

Naja kwenu mioyo yenu ijae,

Furaha na amani, asema Bwananeeh

Verse 2

Nitawaombea ninyi kwa Baba yangu

Naye atamtuma -Roho- wa kweli

Huyo Roho Baba atakayemtuma

Ndiye atakayewafariji mio-yo-ni

Verse 3

Utukufu ulionipa ee Baba

Nimewapa na wao -ili- wapate

Kujua ndiwe peke uliyenituma

Ukawapenda wao ulivyo-ni-pe-nda

Verse 4

Baba hao ulionipa nataka

Wawe pamoja nami, -nami- popote

Popote kutazama utukufu wako

Utukufu ulionipa, anase-ma - Bwa-na

Verse 5

Baba si hao tu ninawaombea

Lakini nao wale -watao-niamini

Wote wawe umoja kama we Baba

Ulivyo ndani yangu nami nda-ni ya-kon

Verse 6

Sitawaacha nyinyi kama yatima

Waipeleka roho, -yako- e Baba

Nawe unaufanya uso wa nchi

Uso wa nchi upya, anase-ma Bwa-na