SectionsExitSioni Ajabu

Sioni Ajabu

Ordinary TimeExit
Chorus

Sioni ajabu mimi ninapotaja jina la Yesu

Na moyo wangu mimi hautachoka kusema Yesu

Maajabu yeye anatenda ukiomba!

Amini amini usadiki utapona!nn/ b / Ukoo wetu na unathibitisha

Yesu ni Mwana wa Mungu, te! na!

Sisi tunamsadiki, ukoo wetu, wetu, Yesunn/ s / Ukoo wetu na unathibitisha, yeye ndiye mteule

Ukoo wetu na unathibitisha, Yesunn/ t / Ukoo wetu na unathibitisha yeye ndiye mtawalann[w] Ukoo fulani mliobaki mwangoja nini

Makabila fulani mliobaki mwangoja nini

Vueni ubinadamu yatupeni yale ya kale

Fumba ufumbue macho hili nalo lisikupite.

Verse 2

Kwa jinsi hii Mungu alipenda ulimwengu

Kamtoa mwanawe wa pekee akatuokoa, tunaamini sisi

Verse 3

Tunaamini alikufa kwa makosa yetu

Tumeokolewa kwa damu yake yenye upendo, tunaamini sisi

Verse 4

Funga usali hakuna litakalomshinda

Hata nywele zako azijua kwa idadi yake, tunaamini sisi