SectionsExitSimu Ya Mbinguni

Simu Ya Mbinguni

Ordinary TimeExit
Chorus

Ninayo furaha kuwapa siri ya simu ya mbinguni

Siri ndiyo sala simu ya mbinguni

Inayoaminika pia hiyo dawa ya shida

Siri ndiyo sala simu ya mbinguni

Haina malipo haihitaji umeme

Jambo kuu la muhimu nd'o sala

Njia pekee ya kuongea na Mungu

Sala simu ya mbinguni

Verse 2

Iwe hata asubuhi -yeye utampata

Hata usiku wa manane pia -nyeye utampata mpigie kwa kusali

Verse 3

Wakati wa mvua au wa jua -

Umeme uwepo na usiwepo -

Verse 4

Kadi yake haipungui fedha -

Simu yake haiwekwi umeme -

Verse 5

Kwake hahitaji mnara -

Hata uwe ndani ya shimo refu -

Verse 6

Kwa wagonjwa pia na maskini -

Kwa matajiri hata mawaziri