{ Simba wa Israeli anaunguruma,
Mbingu za shangwe zinatikisika, zinarukaruka
Ulimwengu wa burudani unatetemeka
Miamba mikubwa mikubwa inasambaratika } *2n{n/s/
Ni shangwe na vigelegele, nderemo chereko vifijo, kwa makofi
Shangilieni, Bwana yesu amefufuka
Manowari ya ukombozi imetia nangann/a/
Ni shangwe na vigelegele, ni nderemo na vifijo makofi ya shangwe
Kwa furaha Mwana wa Mungu amefufuka
Manowari ya ukombozi imetia nangann/t/
Ni shangwe, vigelegele, nderemo na vifijo
Waumini pigeni makofi, Mfalme Yesu amefufuka
Manowari ya ukombozi imetia nangann/b/
Ni shangwe na vigelegele, nderemo chereko vifijonshangwe shangwe, ukombozi Kristu Yesu amefufukanya ukombozi manowari imetia nangann} *2
[a] Aliyekufa mtini bila kosa,n/a/ (akakubali) kuungama na dhambi zetu, amefufuka tumetakasika milelen/s/ akakubali kuyatubu makosa yetu, ameshinda tumetakasika milele
Hatima ya nguvu zote za shetani, (imetangazwa)numeangusha utawala wa mwovu na tumwimbie (wote) aleluya
Utakatifu wa mwanzo, tulioupoteza kwa dhambi
Hii Leo, ameurudishanhesabu ya watoto wa Mungu upya tumerudishiwa
Aliye sadaka ya agano jipya
Amedhihirisha utukufu wake machoni petu
Astahili kutukuzwa kwa sauti kuu