Simama Imara
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
Simama - Simama imara jilinde
Jilinde - Neno lako Bwana imara
Kesha kila siku uombe
Uombe - utasimama
Verse 2
Milima yote na mabonde itayeyuka
Neno lake Bwana imara,nimara - litasimama n
Verse 3
Mapendo ya Mungu, tumejaa roho ya kweli
Imara yetu ndani yake,
Ndaniye, awe muhuri
Verse 4
Siku za huduma ni chache, tuwe mashujaa
Roho wa Yesu akaa nasi,
Kaa nasi, mpaka hatima
Verse 5
Katika yote tutashinda, kwa nguvu yake
Nani aweza kututenga,nkutenga, na pendo lake n
Verse 6
Heri ashikaye maneno, ya Mungu Mwana
Naam naja upesi Amina
Amina, njoo Yesu Bwana