SectionsEntranceSilegei Nasonga Mbele

Silegei Nasonga Mbele

Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Chorus

n{Silegei mimi silegei (silegei)

Nakaza mwendo nasonga mbele } * 2n{Japo kuwa utu wangu wa nje unachakaa

Bali utu wangu wa ndani, unafanywa upya siku kwa siku } * 2

Verse 2

Maana dhiki ya-ngu nyepesi na ya muda kitambo tu,

Yanifanyia utukufu wa milele uzidio kuwa mwingi sana

Verse 3

Tusiviangalie angalie vinavyooneka-na

Kwani hivyo ni vya muda tu bali visyoonekana ni vya milele

Verse 4

Wala sijafika, ila nakazana kwa nguvu zangu zo-te

Nikiyasahau yaliyopi-ta na kuyatafuta yaliyo mbele

Verse 5

Niifikie hi-yo thawabu ya mwi-to mkuu

Mwito wa Mungu katika Kristu Yesu Mkombozi wangu