Verse 1
Naimbaimba nikikusifu Mungu wangu
Nayahubiri matendo yako Mungu wangu mimi
Chorus
Nakaza mwendo ili nifike mbingunin(Ili) Nimuone Mungu pia nao malaika (mimi)n{ Silegei, mimi, silegei, (silegei)
Silegei ninakaza mwendo } *2
Verse 3
Dunia hii yahuzunisha Mungu wangu
Nahangaika kiumbe wako Mungu wangu, sasa
Verse 4
Mtu ni nani Bwana wewe umkumbuke
Na binadamu kwanza yeye umwangazie, sasa
Verse 5
Nipe uwezo nivishinde na vishawishi
Niurudie uso wako ee Mungu wangu, sasa