SectionsBible ProcessionSilaha Ya Mapambano

Silaha Ya Mapambano

Ordinary Time,Ordinary Time,MarianBible Procession
Verse 1

Neno lake Bwana Mungu eensilaha ya mapambano ee eenmapambano silaha ya mapambanondhidi ya Ibilisi,nhayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu

Chorus

Yesu ameshinda, Yesu ameshinda mtawala,

Yesu ameshinda, Yesu ameshinda mtawala

Verse 3

Neno lake Bwana Mungu ee,nlinashinda mapambano ee ee mapambano,nlinashinda mapambano dhidi ya Ibilisi

Hayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu n

Verse 4

Neno lake Bwana Mungu ee,nlinashinda mbinu zote ee ee mbinu zake,nlinashinda mbinu zote dhidi ya Ibilisi,nhayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu

Verse 5

Neno lake Bwana Mungu ee,nlinapenya mbinu zote ee ee mbinu zake,nlinapenya mbinu zote dhidi ya Ibilisi,nhayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu