SectionsExitSikuja Kutangua Torati

Sikuja Kutangua Torati

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

{ Sikuja kuitangua torati au manabii *2

La! Siku-ja, sikuja kutangua

Bali kuitimiliza bali kuitimiliza } *2

Verse 2

[ s ] Yesu aliyasema hayo akimaanisha, seria itimizwe,

Hata yodi moja na nukta moja, ya torati haitapita

Verse 3

[ t/b ] Na sisi inatubidi kuzitii sheria za Mungu siku zote,

Kuiba kudhulumu ni kuvunja sheria, alizoweka Mungu

Verse 4

[ s ] Yesu aliyasema hayo akimaanisha, sheria tutimize,

Uvivu na uchawi ni kuvunja sheria, alizoziweka Mungu