SectionsPresentation of GiftsSikuifukia Talanta Yangu

Sikuifukia Talanta Yangu

Christmas,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Christmas,Baptism,Pentecostal,Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus

Sikuifukia talanta yangu, tazama Bwana naleta kwako leo

Ninaleta shukrani zangu pokea Baba, ni mali yakon

Hivi vyote ni vyako, (mimi) nimepata kwa wema wakonnasema asante Baba, asante, asante, asante * 2

Verse 2

Umenijalia nguvu na akili, nikazitenda kazi

Nimepata riziki zangu asante Baba asante

Verse 3

Umenijalia siku za furaha nami nikafurahi

Nikasifu jina la Bwana asante Baba asante

Verse 4

Umemtoa mwanao Yesu Kristu aje kunikomboa

Katika utumwa wa dhambi, asante Baba asante