SectionsExitSiku Za Mwisho

Siku Za Mwisho

PentecostalExit
Chorus

Katika siku zile za mwisho asema Bwana (asema)

Nitawamiminia, wote roho wangu roho wangu *2n[s] Watoto wenu, watoto wenu,nwatoto wenu, waume kwao waken[a] Watoto wenu, waume kwao wake,nwatoto wenu, waume kwao waken[t] Waume kwa waken[b] Watoto wenu, waume kwao wakenwaume kwa waken[w] Watautangaza ujumbe wangu

Verse 2

Vijana wenu wataona maononna wazee wenu wataota ndoto

Verse 3

Nitawamiminia roho wangunwazee wa wale wanastahili

Verse 4

Naye yeyote atakayeombankwa jina la Baba ataokolewan