SectionsExitSiku Yake Yeye Mwenye Haki

Siku Yake Yeye Mwenye Haki

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

{ Siku zake yeye mtu mwenye haki, atastawi atastawi } *2n{ Na wingi, wingi wa amani, hata mwezi utakapokoma,

Hata mwezi utakakapokoma, utakapokoma } *2

Verse 2

Ee Mungu mpe mfalme, mpe mfalme hukumu zako

Na mwana wa mfalme, umpe haki yako

Atawaamua watu, watu wako kwa haki

Na watu wako walioonewa kwa hukumu

Verse 3

Kwa maana atamuokoa, atamuokoa mhitaji

Na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi

Atamhurumia aliye dhaifu, dhaifu na maskini

Na nafsi za wahitaji ataziokoan