SectionsExitSiku Ya Kuja

Siku Ya Kuja

Ordinary Time,Easter,Ordinary TimeExit
Verse 1

Siku yakuja kuuona mji wa Baba

Wateule watafurahi waliookoka

Siku ya kuja kuuona mji wa Baba,

Tutaimba aleluya *2

Chorus

{Tutavikwa mavazi meupe yapendezayo sana} * 2n{Wale waliookoka watavikwa kwa taji ya Bwana }n{Sote tutaimba Mbinguni kwa furaha kubwa} * 2

Alleluia Mungu wetu kwa upendo wako *2

Verse 3

Tujitenge na mambo ya duniani

Uongo, ulevi wizi visipatikane

Ndipo tutakuwa washindi wake Bwana

Tutaimba aleluya *2