SectionsEntranceSiku Ulipobatizwa

Siku Ulipobatizwa

Christmas,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Christmas,BaptismEntrance
Chorus

Siku ulipobatizwa ndugu yangu,nulimkana shetani (shetani) na mabaya yake yote

Uliikiri imani takatifu,nutamtukuza mungu (Mwenyezi) na sheria zake zoten

Ona leo ndugu yangu, tazama, umemgeuka Yesu Mungu wako

Umelivunja daraja la Yesu, umejenga la Shetani ndani yako

Verse 2

Umelivunja daraja lake Yesu, umemkana rafiki wa milele

Shetani umemuita aje kwako atawale nyumba yako ndugu yangu

Verse 3

Wewe umekuwa chanzo cha maovu, umelibeba bendera la shetani

Umekuwa kiberiti cha shetani, anachowashia moto wa maovu

Verse 4

Muogope Mungu wako, ndugu yangu, acha matendo maovu tenda mema

Uishi katika Kristu ndugu yangu, kama ulivyoahidi siku