SectionsExitSiku Sita

Siku Sita

LentExit
Chorus

n{ Siku sita (sita) kabla ya Pasaka, watoto wa Kiyahudi walimlaki Bwana } *2

Wakishika matawi ya mitende mikononi wakiimba wakiseman{ Hosanna hosanna, hosanna Mwana wa Daudi

Hosanna Hosanna Mwana wa Daudi } *2

Verse 2

Wakimwimbia mfalme mkuu nyimbo za furaha na shangwe

Hosanna yeye ajaye kwa jina la Bwana.

Verse 3

Wakitandaza nguo zao kumpa heshima Mwana wa Daudi

Hosanna yeye ajaye kwa jina la Bwana