SectionsExitSiku Nzuri Kuna Nini

Siku Nzuri Kuna Nini

ChristmasExit
Verse 1

Siku nzuri kuna nini duniani watu wote

Duniani watu wote leo shangwe

Mnieleze leo shangwe ya nini

Mnieleze leo shangwe ya nini

Verse 2

Siku nzuri kuna nini na kelele za vifijo

Na kelele za vifijo zasikika

Mnieleze leo shangwe ya nini

Mnieleze leo shangwe ya ninin

Verse 3

Ni furaha tele, na sherehe kubwa

Ulimwengu, umefanya sherehe kubwa

Mbinguni malaika wanaimba nyimbo nzuri

Tamu za kupendeza, twende tukaona

Verse 4

Kuna nini pangoni Bethlehemu,

Kazaliwa mtoto mzuri mpole na mnyenyekevu

Twende tumsalimu

Verse 5

Huyu mtoto ndiye Mwana wa Mungu

Huyu mtoto ndiye Yesu Kristu

Verse 6

Ni Yesu Kristu, amekuja kwetu, amekuja kutukomboa sisi

Kweli ni furaha kubwa mno

Verse 7

Ni Yesu Kristu, amekuja kwetu, amekuja kutukomboa sisi

Kweli ni furaha kubwa mno

Verse 8

Tuimbe aleluya leo, tuimbe aleluya leo

Tuimbe aleluya leo, tuimbe kazaliwa Bwana

Aleluya tuimbe kazaliwa Bwana

Verse 9

Ulimwengu, umefanya sherehe kubwa

Mbinguni malaika wanaimba nyimbo nzuri

Tamu za kupendeza, twende tukaona

Verse 10

Kuna nini pangoni Bethelehemu,

Kazaliwa mtoto mzuri mpole na mnyenyekevuntwende tumsalimun