SectionsExitSiku Ile

Siku Ile

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Siku ile niliyokuita, Bwana uliniitikia *2n(Kweli) Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu *2

Verse 2

Nitakushukuru kwa moyo wangu wote

Mbele ya miungu nitakuimbia zaburin

Verse 3

Nitalishukuru jina lako ee Bwana

Kwa ajili ya fadhili na uaminifu wako

Verse 4

Kwa maana umekuza amri yako

Kuliko jina lako jina lako takatifu

Verse 5

Ingawa Bwana yuko kule juu Mbinguni

Twamwona mnyenyekevu na mwenye kujikunan

Verse 6

Ee Bwana fadhili zako ni za milele

Usiziache katika mikono yako Bwana