SectionsExitSiku Ile Inayokuja

Siku Ile Inayokuja

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Kwa maana angalieni, siku ile inayokuja

Inawaka kama tanuru kama tanuru

Watu wote wenye kiburi, nao watendao uovu

Watakuwa kama makapi, kama makapin{ Wengi nao watajiuliza, hatukutoa pepo,

Na kwa ji-na la-ko kufa-nya mi-ujiza } *2

Verse 2

Jiandae ndugu yangu siku hiyo yaja

Kila mtu atalichukua furushi lake

Verse 3

Jiulize kwa makini utakuwa wapi

Ukiitwa leo au kesho ujiulize

Verse 4

Siku ile inakuja hatujui saa

Kila mtu atalichukua furushi lake