Chorus
Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana
Tutaishangilie na kuifurahia
Verse 2
Israeli nasema sasa,
Fadhili zake ni za milele
Verse 3
Mkono wake wa kuume,
Wa Bwana hutenda makuu
Verse 4
Sitakufa bali nitaishi nami,
Nitasimulia matendo ya Bwana
Verse 5
Jiwe walilolikataa waashi,
Limekuwa jiwe kuu la pembeni
Verse 6
Neno hili limetoka kwa Bwana,
Nalo ni la ajabu machoni petu