Sikilizenimalaika
Christmas,EasterThanksgiving
Chorus
Sikilizeni sikilizeni malaika wa Mbingu
Wanaimba kwa furaha aleluya kwa furaha aleluyan{ Na sisi tuimbe aleluya aleluya *2
Tushangilie ufufuko wake Bwana } *2
Verse 2
Kuwa uzima aliyekufa, amefufuka
Uzima umeshinda mauti
Verse 3
Twajua Kristu amefufuka, mfalme mshindaji
Kweli milele hata milele
Verse 4
Mchunga kondoo ametukomboa
Kondoo wake ametupatanisha na Baba
Verse 5
Mwanakondoo asiye na dhambi, ndiye Mwokozi
Mfalme wa Mbingu na dunia yote