Sikilizani Mataifa
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
Sikilizeni sikilizeni mataifa *2n{Nawatuma ninyi kati ya mbwa mwitu
Kuweni wapole kama njiwa }*2
Verse 2
Nami nitawapa ninyi Roho wa hekima
Awaongoze katika njia zote
Verse 3
Mtawakanyaga nyoka pia nge
Lakini kwa jina langu hamtashi-ndwan
Verse 4
Sheria zangu ni kuu kwao watu wote
Aniaminiye mimi ataoko-ka