Verse 1
Sikiliza ni mpendwa wangu,
Ni mpendwa wangu tazama anakuja. X2
Chorus
Akirukaruka milimani, akichacharikanvilimani, mpendwa wangu ni kama paa,
Ni kama ayala tazama anakuja X2
Verse 3
Tazama tazama asimama,nasimama nyuma ya ukuta wetu,nanachungulia dirishani,natazama kimiani anakuja.n
Mpendwa wangu alinena,nyeye alinena akaniambia,nondoka ewe mpenzi wangu,newe mzuri wangu ili uje zako.n
Nitazame nitazame uso wako,nniisikie sauti yako,nmaana sauti yako tamu,nni tamu na uso wako ni mzuri.n
Mpendwa wangu kweli ni wangu,nhakika ni wangu na mimi ni wake,nmpendwa wangu ulisha kundi,nulisha kundi lake kwenye nyinyolo.n
Hata jua lipungue kweli,nna vivuli vyote pia vikimbie,nunigeukie mpendwa wangu,nunigeukie ewe mpendwa wangu.