SectionsEntranceSifuni Sifuni

Sifuni Sifuni

ChristmasEntrance
Verse 1

Sifuni sifuni

Upendo wake Mungu

Pazeni, pazeni enyi wa ulimwengu

Sifa zake bwan zifike kwa jirani

Hii ndiyo amani kwa wote dunianin

Chorus

Utabiri wa kale umetimizwa

Mungu ametujalia tulivyonenwa

Dunia yote imefurahi sana

Amezaliwa ndiye Mungu mwana

Verse 3

Imbeni imbeni

Nyimbo za kushukuru

Semeni, semeni tumepewa uhuru

Wote yatupasa kuwa nayo furaha

Kuanzia sasa tujazwe uafasaha

Verse 4

Mbinguni, Mbinguni

Wanaimba amani

Amani Amani iwepo duniani

Kwa watu popote aliowaridhia

Njooni na mpate alivyowaandalia

Verse 5

Haya tazameni

Tuimbe Hosanna

Jamani Jamani ametujia Bwana

Heko mamajuzi kwa kumsujudia

Vivyi hata sisi twende kumtumikia