Shukrani Zetu
Marian,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
Shukrani zetu Baba, Muumba mbingu na nchi, pokea
Shukrani zetu Baba pokean[ Ee Baba] Aee Pokea, Shukrani zetu Baba pokea
Verse 2
Mavuno tumepata tena kwa wingi sana, asante...n
Verse 3
Umetulisha mwili na pia damu yako, asante...
Verse 4
Baraka tumepata tena kwa wingi sana, asante...
Verse 5
Umetulinda wiki nzima twakushukuru, asante...n
Verse 6
Neno tumepokea kutujenga kiroho, asante...
Verse 7
Tumepata neema kwa Misa Takatifu, asante…