Shukrani Zetu Baba
Thanksgiving
Verse 1
Shukrani zetu Baba
Muumba mbingu na nchi pokea *2
Chorus
Ee Baba, aee (aee, aee) Pokea,nshukrani zetu Baba pokea *22
Verse 3
Twazitoa kwa moyo
Tena kwa pendo kuu asante.
Verse 4
Kwa mwili na damuye
Mwanao Yesu Kristu asante
Verse 5
Uzima tumepata
Roho zaburudika asante.
Verse 6
Mwenye kuwaalika
Wote shambani mwake asante.n
Verse 7
Mavuno ndiyo mengi
Wavunaji wachache asante.
Verse 8
Matumaini yetu
Ni kwako leo hata milele