Sheria Yako Naipenda
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
Sheria yako naipenda mno ajabu
Sheria yako naipenda mno ajabun{Ndiyo kutafakari kwangu
Ndiyo kutafakari kwangu
Mchana kutwa mchana kutwa} *2
Verse 2
Bwana ndiye aliye aliye fungu langu
Nimesema kwamba nitayatii maneno yako
Nimekuomba radhi kwa moyo wangu wote
Nifadhili sawa na ahadi yako
Verse 3
Umemtendea mema mtumishi wako
Sawasawa na neno lako na neno lako
Unifundishe akili na maarifa
Maana nimeyatii maagizo yako
Verse 4
Wewe u mwema na mtenda mema
Unifundishe unifundishe amri zako
Sheria ya kinywa chako ni njema kwangu
Kuliko maelfu na dhahabu na fedha