Sheria Yako Bwana
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
Sheria yako Bwana *2 ninaipenda mno*2
Ninaipenda ninaipenda , ninaipenda mno ajabu.
Verse 2
Bwana ndiye aliye jungu langu
Nimesema kwamba nitatii maneno yako
Verse 3
Nakuomba fadhili zikae nanyi
Sawasawa na ahadi yako kwangu