SectionsOffertorySheria Ya Bwana

Sheria Ya Bwana

Ordinary Time,Ordinary TimeOffertory
Chorus

Sheria ya Bwana, sheria ya Bwananni kamilifu aeeh, ni kamilifu aeehnhuburudisha nafsi x2

Verse 2

Ushuhuda wa Bwana, ushuhuda wa Bwana,nni yamini ni yamini humtia mjinga hekiman

Maagizo ya Bwana, maagizo ya Bwana.

Ni ya adili,ni ya adili,nhuufurahisha moyo wangun

Na amri yake Bwana, amri yake Bwana,

Ni saf sana ni saf sana,nhuyatia nuru macho yangun

Hukumu zake Bwana, hukumu zake Bwana,nni za kweli ni za kweli,nnazo zina haki kabisa