SectionsExitShangilieni Kwa Kuwa Mfalme Yuaja

Shangilieni Kwa Kuwa Mfalme Yuaja

AdventExit
Verse 1

Shangilieni kwa kuwa Mfalme yuaja

Anakuja kututoa utumwani

Anakuja kwetu, anakuja kutuokoa

Chorus

Tazama anakuja, mtawala wa wa ulimwengu

Anakuja kwetu Mtawala Bwana

Tazama anakuja, mtawala wa wa ulimwengu

Anakuja kwetu Mtawala Bwana

Verse 3

Tayarisheni mapito yake,

Dondoeni njia zake

Tubuni dhambi zenu, pokeeni wokovu wake

Verse 4

Mrudieni Mwenyezi Mungu,

Fungueni mioyo yenu

Basi anakuja, anakuja na enzi