Chorus
Shamba la mizabibu *2 la Bwana
Ndilo nyumba ya Israeli *2
Verse 2
Ulileta mzabibu, (mzabibu kutoka Misri)*2
Ukafukuza mataifa *2, ukaupanda
Verse 3
Kwa nini umezibomoa, (umebomoa kuta zake)*2
Na hayawani wa kondeni wautafuna
Verse 4
Ee Mungu wa majeshi, twakusihi urudi Baba
Ujilie mzabibu huu, na mche uliopandankwa mkono wako