Chorus
Shamba la mizabibu (mizabibu)
Shamba la mizabibu la Bwana ndilo nyumban(Ya Israeli) ndilo nyumba ya Israeli *2
Verse 2
Ulileta mzabibu, mzabibu kutoka Misri
Ukafukuza mataifa ukaupanda
Verse 3
Uliyaeneza matawi, matawi yake baharini
Vichipukizi vyake hata kunapo mto
Verse 4
Kwa nini umezibomoa, umebomoa kuta zake
Nguwe msituni wanauharibun
Verse 5
Wauchuma wapitao, wale wapitao njiani
Hayawani wa porini wanautafuna