Sauti Ya Yohana

Ordinary Time,MarianBible Procession
Verse 1

Sauti ya Yohana yasikika nyikani

Tengenezeni njia Bwana apite

Verse 2

Apite (Bwana apite) *2

Tengenezeni njia Bwana apite

Verse 3

Malaika kahubiri, kahubiria Mariamu -

Tengenezeni njia Bwana apite

Verse 4

Na wewe kijana rekebisha mwenendo -

Tengenezeni njia Bwana apite

Verse 5

Acheni fitina chuki na hasira -

Tengenezeni njia Bwana apiten

Verse 6

Bwana alituachia hili neno takatifu,

Tulitangaze kote ulimwenguni