Verse 1
Nasikia sauti tamu tamu - kabisa kabisa
Midundo mizuri ya kupendeza - kabisa kabisa
Chorus
Ni vijana, ni vijana ni vijana twahubiri kwa nyimbo *2
Iyelele - iyelele, iyelele - iyelele *2 (jama)
Twasoma masomo magumu kuliko mawe
Pia tunaimba kuihubiri injili
Tuunge mkono kuhubiri kwa kuimba
Tubarikiwapo wewe usiachwe nyuma
Karibu ndugu karibu (wote) karibu tena karibu
Verse 3
Ni talanta tumepewa na Mungu -
Tutumie watu waokolewe -
Verse 4
Nyimbo zetu zakuza maadili -
Umoja pia ushirikiano -
Verse 5
Wenzetu wanapoyatupa mawe -
Sisi tunawarudishia nyimbo -