Chorus
(Sauti njema za malaika zaimba zasifu jina lako Yesu
Nakaza mwendo ili mimi naminnivikwe taji hilo la utakatifu )*2n(Na sasa nasema – (natembea*3),
Natembea na Bwana Yesu, shetani lo! sikutaki )*2
Verse 2
Nawaza moyo wangu ni mpweke,
Najua wewe Bwana ni kimbilio
Tazama nanyoosha mkono natembea na wewe
Verse 3
Magonjwa na hatari za dunia
Zinakabili sana siku za leo . . .
Verse 4
Maelewano ya jamii zetu
Sasa kitendawili kigumu sana . . .