SectionsExitSauti Kubwa

Sauti Kubwa

Easter,Ordinary Time,MarianExit
Verse 1

Sauti kubwa, yatoka mbinguninyawaitaita nyote njooni kwangu

Nawangojea, tena namtumanmjumbe wangu aje kuwachukua

Chorus

[s] Aje aje aje ee ee aje kuwachukuan[w] Mjumbe wangu *2, aje kuwachukua

Verse 3

Nawangojea, tena namtumankama kondoo katika mbwa mwitu

Verse 4

Habari hizi, ndugu twazisoma

Mathayo kumi mstari kumi na sita