Sasa wakati umefka wa kushika nilicho nachon(mimi), kwa wema niende kwa Mungu nitoenzawadi. Sasa wakati umefka kwenda mbelenya Mungu wangu (ili)
Aone nilivyo andaa zawadi ya leo.
Nitamwambia Bwana pokea (hiki) kidogonnilicho nacho, kwani Mungu wewe wanijuan(mimi), siwezi hata kueleza, nakusihi sana Babanunipokee, nigawie na baraka niwe salama
Mema yote niliyokuwa nayo yametokankwa Mungu, hivyo nami nikose kusahaunkumshukuru. Kwani kuwepo hapa leo hiinni kazi ya nani? Kamwe mimi sitapatanuwezo pasipo Mungu.
Mema aliyotenda Mungu nijibu lini nanvipi? Mbona hofu yazidi kuwa dani yanmoyo wangu? Mbele za Bwana Mungunwangu kufanya siri ni bure yeye ndiyenmpanga mambo yote ya wanadamu.
Pumzi inayonipa uhai inatoka kwa nani?
Bila Mungu hakika mwanadamu siwezinkitu, nimepata nafasi hii ya leo kwendankutoa zawadi heri niende ya kesho sionyangu ajua Baba.
Ee Muumba wa vyote duniani nanvyote vya mbinguni, mimi leo nakujankwako Baba nihurumie, Baba we ndiwenunayetawala kulala na kuamka, juunyangu utake nini Baba lisifanyiken