Chorus
Sasa nitayasimulia matendo ya Bwana
Nami (nami) nitayadhihirisha mambo (mambo) yale yote niliyoyaona
Kwa Neno la Bwananvimekuwapo viumbe vimekuwapo viumbe vyote
Na kazi impendezayo (kweli) ni sawasawa na amri yake
Verse 2
Jua litoapo nuru hudhihirika pahali pote
Na kazi ya Bwana imejaa utukufu
Verse 3
Yeye huchunguza vilindi pia na moyo
Wa binadamu na kuyatambua mashauri yake ya siri
Verse 4
Maana aliye juu amaizi yote
Yalo ujuzi naye hupendezwa na ishara za ulimwengu