SectionsOffertorySasa Ndio Wakati (Ii)

Sasa Ndio Wakati (Ii)

Ordinary Time,MarianOffertory
Verse 1

Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka

Kila mtu aanze kujifikiria

Chorus

Zilete zilete, zilete kwa Bwana

Zilete zilete zilete kwa Bwana

Verse 3

Tolea moyo wako, pia matendo yako

Naye Bwana Mungu wangu, atakubariki

Verse 4

Wiki nzima Bwana Mungu, amekulinda vyema

Sasa nawe ndugu yangu, ujifikirie

Verse 5

Kumbuka jinsi Yesu, alivyojitolea

Pale msalabani, kwa ajili yako

Verse 6

Baraka zake Mungu, za Baba na za Mwana

Na za Roho Mtakatifu ziwe nanyi nyote